
Ofa Hii Ni Ya Leo Tuu, Muda Uliobaki Ni...
“Jiondoe Kwenye Mtego Wa Kupoteza Maisha Yako, Ya Mzazi Wako Au Ndugu Yako Kwa Tezi Dume…!”

Nitakuonesha Njia Ambayo Ndani ya siku 6 tuu Itakunusuru Kuingia Kwenye Mtego wa Tezi Dume Ulioua Mzazi Wangu 1 na Ndugu Zangu 2
Njia hii ni salama wala hauitaji kufanyiwa upasuaji wala kutumia dawa ilimradi ambazo hazitakusaidia.
Kabla ya kuendelea…
Ni vyema ukajua mimi ni nani na kwanini unatakiwa kuwa makini kunisikiliza na kufuatilia kila hatua ya nitakachokwambia leo ndani ya dakika 3 zijazo.

Kwa majina Naitwa Dr. Venas Kisonga
Kwa zaidi ya Miaka 5 sasa nimekuwa nikiwasaidia wanaume wenye umri Kati ya Miaka 50 Hadi 90 wanaosumbuliwa na... Tatizo la tezi dume, kulimaliza kabisa tatizo hili Bila kufanyiwa upasuaji wala kutumia madawa Kwa Muda mrefu.
"Kwanini nimeamua kusaidia kundi hili la wanaume wenye tatizo la Tezi Dume?"
Kwa upande wa kifamilia nimekuwa na historia mbaya sana na yenye maumivu makali yaliyosababishwa na tezi dume...
Inawezekana haunielewi ninaposema tezi dume imenipa maumivu makali sana.
Ngoja nikushirikishe maumivu yangu kidogo.
Kwa tatizo la tezi dume…
Tarehe 03 March 1993 nilimpoteza mzazi wangu akiwa na umri wa miaka 70. Na ilipofika Tarehe 14 April 2014, nilimpoteza kaka yangu mkubwa kutokana na tatizo la tezi dume.
Na hatimaye Mwaka 2016, nilimpoteza kaka yangu wa pili kutokana na tatizo Hilo la tezi dume.
Jaribu kuvuta picha ndio wewe umepoteza watu hawa wote muhimu kwenye maisha yako kwa sababu ya tezi dume, ungejisikiaje?
Umeanza kunielewa sasa? Sasa kutokana na hayo niliuona ugonjwa huo kuwa janga katika familia yangu na kuamua kutafuta kila njia kupambana na tatizo hilo la ugonjwa wa tezi dume. Utasema kwanini hawakwenda hospitali? Wote hao walitibiwa katika hospital nyingi na kubwa bila mafanikio.
Hadi wengine kufanyiwa upasuaji zaidi ya mara moja lakini hawakupona na walikufa. Tulitumia tiba mbalimbali bila mafanikio, hata dawa nyingi za asili zilishindwa kutatua tatizo hili la tezi dume. Baada ya kuhangaika sana bila kukata tamaa, hatimaye mwaka 2019 nilifanikiwa kupata dawa ambayo ndani ya sekunde 60 zijazo nitakuonesha.
Niliifanyia majaribio kwa mwaka mzima na kupata mafanikio kwa asilimia 98%.
Na hizi ni baadhi ya shuhuda ya watu ambao nimewasaidia…
"Nilikosa usingizi kwa miaka mitatu kwa sababu ya kukojoa usiku kila baada ya saa moja. Maumivu yalikuwa makali kiasi kwamba sikuweza kukaa au kulala vizuri. Baada ya kutumia dawa za hospitali bila mafanikio, nilishauriwa na rafiki yangu kutumia Lomweno. Ndani ya wiki mbili, maumivu yalipungua, na baada ya miezi miwili, dalili zote zilitoweka. Leo hii, ninajisikia mwenye nguvu tena."
"Vanas, asante kwa kunitambulisha kwenye dawa ya Lomweno. Nilikuwa nikiamka usiku zaidi ya mara tano kukojoa, nikiwa na maumivu makali kila wakati. Sasa, baada ya kutumia Lomweno, ninalala vizuri na sina maumivu tena. Nimepona kabisa na naendelea na maisha yangu kwa furaha. Mungu akulinde kwa kazi yako njema."
"Nakushukuru sana, Vanas. Nilikuwa na hofu kubwa ya kufanyiwa upasuaji kwa sababu ya tezi dume. Ulinishauri nijaribu Lomweno, na ndani ya wiki chache, dalili zote zilianza kutoweka. Sasa niko sawa kabisa, na afya yangu imeimarika. Nashukuru kwa msaada wako!"
Baada ya kunifahamu na kusoma story yangu…!
Tumalizie eneo lingine ambalo pia nitakuonesha na suluhisho lake...
Tuanze na tafiti ili tusiwe tunaongelea vitu ambavyo ni vya nadharia tuu au vya kubuni.
Uchunguzi wa kisayansi unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 50 ya wanaume walio na umri wa miaka 50 na kuendelea huathirika na matatizo ya tezi dume.
Ambapo karibia asilimia 10-15 ya wanaume duniani wana tatizo la tezi dume kuongezeka ukubwa kwa wakati fulani katika maisha yao.
Ukiangalia…
Ripoti ya shirika la afya duniani (WHO) ya mwaka (2022) inaonyesha kuwa kiwango cha vifo ni kikubwa zaidi katika...
Nchi zinazoendelea kwa sababu ya ukosefu wa vifaa vya uchunguzi na utambuzi wa mapema.
Lakini pia…
Kulingana na African Cancer Registry Network (AFCRN), saratani ya tezi dume ni saratani ya kwanza kwa wanaume barani Afrika, na...
Kiwango cha maambukizi kinakadiriwa kuwa kwa watu 26-40 kwa kila wanaume 100,000.
Ukitaka kuthibitisha hili tuangalie mfano wa… Afrika Magharibi, ambapo kiwango cha vifo kutokana na saratani ya tezi dume ni 27 kwa kila wanaume 100,000, ikilinganishwa na Ulaya Magharibi ambacho ni 9 kwa kila wanaume 100,000.
Hii ni hatari…!
Tusiende mbali sana,tumia dalili hizi kujua kama una changamoto ya TEZI DUME Lakini pia baada ya dalili hizi nitakuonesha vyanzo vya tatizo hili na madhara yake.

Dalili za tezi dume ni hizi…. 1. Kukojoa Mara kwa Mara: Hasa wakati wa usiku, hali inayojulikana kama nocturia.
2. Kuhisi Maumivu au Shinikizo Wakati wa Kukojoa
Hali inayoweza kuashiria uvimbe au mabadiliko kwenye tezi dume.
3. Mkojo Kutoka kwa Taabu
Mkojo unaweza kutoka kidogo kidogo au kusita kabla ya kuanza kukojoa.
4. Mkojo Wenye Damu
Hii ni dalili inayohitaji tahadhari ya haraka.
5. Kuhisi Mkojo Bado Upo Hata Baada ya Kukojoa
Hii huashiria kuwa kibofu hakijasafishwa vizuri.
7. Maumivu Kwenye Sehemu ya Chini ya Tumbo au Mgongo
Husababishwa na kuvimba kwa tezi dume au maambukizi.
8. Kudhoofika kwa Mtiririko wa Mkojo
Mkojo kutoka kwa nguvu ndogo au kunyunyuzika.
Ikiwa mtu ana dalili hizi, anashauriwa kuchukua hatua mapema ya matibabu.
Kabda sijakuonesha madhara yake...
Vyanzo vya TEZI DUME ni vipi…?

Kuwa makini sana kujua vyanzo vyake. Twende pamoja hapa...
1. Umri Mkubwa
Kadri umri unavyoongezeka, hatari ya kupata matatizo ya tezi dume huongezeka, hasa kwa wanaume walio na umri wa zaidi ya miaka 50.
Hii inatokana na mabadiliko ya homoni mwilini.
2. Historia ya Familia
Wanaume wenye ndugu wa karibu walio na matatizo ya tezi dume wana uwezekano mkubwa wa kupata hali hiyo, inaonyesha uhusiano wa kijenetiki.
3. Mabadiliko ya Homoni
Kupungua kwa kiwango cha testosterone na kuongezeka kwa dihydrotestosterone (DHT) huchangia kuongezeka kwa ukubwa wa tezi dume.
4. Mtindo wa Maisha
Kutofanya mazoezi, uzito kupita kiasi, au lishe isiyo na afya (iliyokosa mboga mboga, matunda, na nyuzinyuzi) kunaweza kuongeza hatari ya matatizo ya tezi dume.
5. Maambukizi ya Mara kwa Mara
Maambukizi ya njia ya mkojo au magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha kuvimba kwa tezi dume (prostatitis).
6. Unywaji wa Pombe na Uvutaji wa Sigara
Tabia hizi huongeza hatari ya matatizo ya tezi dume, labda kutokana na athari za sumu kwenye mfumo wa homoni na seli za tezi.
7. Asili ya Kiafrika
Tafiti zinaonyesha wanaume wa asili ya Afrika wako kwenye hatari kubwa zaidi ikilinganishwa na makundi mengine ya kikabila.
8. Mfadhaiko wa Kudumu
Stress sugu inaweza kuathiri usawa wa homoni mwilini na kuathiri afya ya tezi dume.
Matumizi ya mtindo wa maisha bora na uchunguzi wa mara kwa mara husaidia kupunguza hatari.
Umeshajua vyanzo vyake…? Sasa madhara yake ni haya;
1. Matatizo ya Kukojoa
• Kukojoa kwa shida
Tezi dume iliyovimba inaweza kubana njia ya mkojo, na kusababisha ugumu wa kuanza au kumaliza kukojoa.
• Mkojo kushindwa kutoka kabisa (urinary retention)
Hali hii inaweza kusababisha maumivu makali na kuhitaji huduma ya haraka ya matibabu.
• Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
Kuwepo kwa mkojo kwa muda mrefu kwenye kibofu huongeza hatari ya maambukizi.
2. Kibofu cha Mkojo Kuathirika
Kibofu kinaweza kuwa dhaifu au kuharibiwa kutokana na shinikizo la mara kwa mara kutoka kwenye mkojo usiotoka kikamilifu.
Hali hii huweza kusababisha matatizo ya kudumu.
3. Mawe kwenye Kibofu cha Mkojo
Mkojo unaobaki kwenye kibofu kwa muda mrefu unaweza kutengeneza mawe, ambayo...
Husababisha maumivu, maambukizi, na matatizo zaidi ya kukojoa.
4. Uharibifu wa Figo
Shinikizo linalosababishwa na mkojo uliojaa kwenye kibofu linaweza kurudi hadi kwenye figo, na kusababisha kushindwa kufanya kazi kwa figo (kidney failure).
5. Saratani ya Tezi Dume
Matatizo ya muda mrefu ya tezi dume, hasa bila uchunguzi wa mara kwa mara, yanaweza kusababisha au kuficha dalili za saratani ya tezi dume.
Ikiwa saratani itagunduliwa kwenye hatua za mwisho, ni ngumu zaidi kupona na kupoteza maisha yako.
6. Maumivu ya Kudumu
Maumivu yanaweza kuanza kwenye maeneo ya chini ya mgongo, nyonga, au sehemu za siri, na kuwa makali zaidi kadri tatizo linavyozidi.
7. Kupungua kwa Ubora wa Maisha
Kukojoa mara kwa mara hasa usiku, maumivu, na wasiwasi wa kiafya vinaweza kusababisha matatizo ya usingizi, msongo wa mawazo, na kupungua kwa furaha ya maisha.
8. Kushindwa Kudhibiti Mkojo (Incontinence)
Hali ya kushindwa kabisa kudhibiti mkojo inaweza kutokea, na mara nyingi husababisha aibu na changamoto za kijamii. Tayari umeshajua madhara yake na mimi sitaki ufike huku kabisaa
Unatakiwa kutumia dawa gani sasa ikiwa bado mapema?
Nilikwambia mwaka 2019 niligundua dawa ambayo kwa asilimia 98 imeokoa maisha ya wanaume wengi wenye TEZI DUME
Jina la dawa hii inaitwa LOMWENO
Nimekuwekea picha ya dawa hii chini;

Hii ni dawa pekee inayotibu na kumaliza kabisa tatizo la tezi dume bila kufanyiwa upasuaji.
Kwa mwanaume mwenye tatizo la tezi dume una chaguzi 2 za kupata dawa hii ya asili.
Unaweza pata LOMWENO katika makundi 2 ambazo ni...
"Full Dozi & Nusu Dozi"
- Full Dozi Gharama yake ni Tshs 360,000
- Nusu Dozi Gharama yake ni Tshs 180,000
LAKINI...
Leo hutolipia Tshs 360,000 ili kupata Full Dozi....
WALA...
Hutolipia Tshs 180,000Ili Kupata Nusu Dozi
Badala yake...
Full Dozi(Chupa 4 Badala ya 3)ya LOMWINO Utaweza Kuipata Kwa OFA ya...
Tshs 220,000/= Tuu badala ya 360,000
Kupata full dozi lipia kupitia TIGO LIPA namba 15575373 jina lije Venas Juma Kisonga
Baada ya kulipia tuma Screenshot Whatsapp kupitia namba +255 710 046 161
AU
Muda Uliobaki Kupata OFA hii ni...
NA...
Nusu Dozi (Chupa 2 badala ya 1) ya LOMWENO Utaweza Kuipata Kwa OFA ya...
Tshs 110,000 Tuu badala ya 180,000/=
Kupata full dozi lipia kupitia TIGO LIPA namba 15575373 jina lije Venas Juma Kisonga
Baada ya kulipia tuma Screenshot Whatsapp kupitia namba +255 710 046 161
AU
Muda Uliobaki Kupata OFA hii ni...
Uzuri zaidi ni kwamba...
Utakapofanya maamuzi leo, ya kuchukua dozi mojawapo kati ya dozi hizi 2 utatumiwa mzigo wako BURE sehemu yoyote ulipo Tanzania.
Na kama upo nje ya Tanzania utalipia gharama ya kusafirishiwa dawa ulipo kwa usalama kabisaa.
Muda Uliobaki Kupata OFA hii ni...
Lakini pia... Utakapofanya maamuzi ya kuchukua dozi yoyote leo...
Kuna Ofa ambayo utaipata na hautatumia hata senti 10 yako.
Ipo hivi...
Kwa kuwa ugonjwa huu husababisha upungufu wa nguvu za kiume, nitatoa BURE dawa ya kurudisha nguvu za kiume yenye thamani ya 100,000/= kwa wateja 5 wa mwanzo.
Ofa hii ni ya masaa 24 kuanzia sasa.
Baada ya masaa 24, haitakuwa BURE tena na nitatoa punguzo la 50% ya dawa ya kurudisha nguvu za kiume itakuwa 50,000/= badala ya 100,000/=
Ofa hiyo pia itakuwa ya siku 3 tu kwa watu 5 tu maana dawa zipo chache sana.
Muda Uliobaki Kupata OFA hii ni...
Bonyeza BUTTON nyekundu kwa chini ya DOZI unayohitaji ili usikose ofa hii.
Utachanganya ndani ya Maji yaliyochemshwa degree 100 yenye ujazo wa Lita moja na nusu.
Baada ya kupoa, mgonjwa atumie kunywa 250mls mara Tatu Kwa siku. Na Kwa mgonjwa ambaye ugonjwa uko katika hatua za awali, atumie kipimo hicho mara mbili kwa siku.
Faida za dawa hii ni kuwa imetengenezwa kwa majani na magome ya mitishamba, na haina kemikali yoyote wala madhara kwa mtumiaji.
Mabadiliko ni ndani ya siku 2 baada ya kutumia dawa. Na kupata matokeo ni ndani ya siku 6 kwa wagonjwa wa hatua za mwanzo za ugonjwa, na siku 9 Kwa wagonjwa ambao wanakuwa wamesha wekewa mpira wa kutolea mkojo Kwa kipindi cha siku moja hadi miezi mitatu. Na Kwa wagonjwa ambao wanaishi na mpira zaidi ya miezi 3 na kuendelea, tunawashauri kutumia dose moja na nusu ya dawa.
